Utangulizi: Demokrasia kama Imani, Sio Ukweli
Katika Tanzania na Afrika kwa ujumla, Demokrasia imegeuzwa kuwa imani ya kisiasa isiyoruhusu kuhojiwa. Ukiongea dhidi yake, unaitwa adui wa maendeleo, dikteta, au mtu anayechukia haki za binadamu. Lakini historia na uhalisia vinaonyesha kuwa...
Ukombozi mkubwa na muhimu uliohitajika Afrika ni ukombozi wa KIFIKRA na siyo kupigana vita kama ilivyofanya Tanzania ndani ya Afrika.
Ukombozi uliofanywa na Tanzania ni kiini macho kwani Waafrika bado ni watumwa na wamechoka kimaisha hadi pale watakapojikomboa KIFIKRA wao wenyewe kwa kukaa...