Habarini,
Moja kwa moja kwenye uzi.
Chanzo cha walimu kuwa kwenye maisha magumu na maslahi duni ni kutokana na ukatili wa walimu wa mwanzo kabisa waliofundishwa na wakoloni kwa ukatili, yaani fimbo sana, manyanyaso kwa wanafunzi wa wakati huo ambapo urithi wa ukatili umeendelea mpaka zama...