ukatili wa kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    PostGE2025 Video: Vijana walivyomiminiwa risasi wakiwa wamesimama nje ya geti wakipiga stori. Wawili walifariki hapo hapo

    Anaandika Malisa GJ kupitia ukurasa wake wa Instagram: Hii ni tarehe 31 Oktoba. Hawa vijana wamesimama nje ya geti nyumbani kwao. Hawapo kwenye maandamano, wanapiga tu story, wendawazimu wametokea na bodaboda na kuwamiminia risasi. Vijana wawili wakafa papo hapo. Very innocent souls. Halafu...
  2. comrade_kipepe

    Kada wa CCM amwagiwa tindikali

    KWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23 —— Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika kinachosadikiwa kuwa tindikali, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe...
  3. Sir robby

    Hivi ni kweli Serikali yetu imeshindwa kuyajua haya na wahusika wake?

    Wadau najua hakuna kinachoshindikana kwa serikali ikitaka kujua jambo au mambo yote yanayotokea kwenye hiyo nchi, labda tu iwe haitaki. Kuna haya matukio ambayo mpaka sasa serikali haijayapatia ufumbuzi; 1. Kutekwa kwa mfanyabiashara Mo mpaka sasa wahusika hawajakamatwa. 2. Kupigwa risasi kwa...
Back
Top Bottom