ukanda wa ghuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hamas yaitaka Iran kusitisha mashambulizi ukanda wa Ghuba huku ikiunga mkono Tehran kujilinda dhidi ya Israel na Marekani

    Kundi la Wapalestina la Hamas limetoa wito kwa mshirika wake Iran kusitisha mashambulizi dhidi ya nchi za Ghuba, huku likisisitiza kuwa Tehran ina haki ya kujilinda dhidi ya Israel na Marekani katika vita walivyoanzisha. Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, Hamas iliwataka “ndugu zao nchini...
Back
Top Bottom