ujumbe mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Peter Dafi

    Ujumbe Mfupi wa Miaka 49 ya Siri ya ushindi wa CCM

    #dafitips Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ Video 👆🏿👆🏿👆🏿 Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu...
  2. ubongokid

    PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

    Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima. Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima. Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na...
  3. Maleven

    Kuwepo na option ya kuweka ujumbe mfupi tunapotuma pesa keenye simu

    Badala ya kutuma pesa na kupiga simu au tuma ujumbe kua pesa ni yanini, tuokoe muda. Unaweka kiasi cha pesa na ujumbe mfupi, mfano :mchango wa harusi kutoka kwa Stive ruso. Au wana jamii mnaonaje hii huduma?
  4. JamiiCheck

    Je, wajua Akili Mnemba inaweza kutengeneza mazungumzo ya Ujumbe mfupi na kupotosha Uhalisia?

    Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp? Je, umewahi kujiuliza kuhusu Uhalisia wake? Usiwe mwepesi wa kuamini maudhui kama hayo kwani teknolojia ya Akili Mnemba inaweza...
  5. R

    Badala ya kutumia *106# kuangalia namba zilizosajilowa kwa NIDA ni bora kutumiwa ujumbe mfupi kila namba mpya inaposajiliwa ili kupunguza wahuni.

    Kumekuwa na michezo ya kusajili line bila idhini ya mwenye kitambulisho, umeenda kusajili laini unaambiwa rudia tena kuweka vidole kumbe nyuma ya pazia kuna namba imesajiliwa bila idhini yako, wehalifu wengine wanaweza kutunza alama za vidole kusajili bila wewe kuweka vidole. Namba hizi...
  6. Tunzo

    Wahusika Pigeni Marufuku Makampuni ya kamari kututumia ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu zetu

    Kama mmepiga marufuku matangazo ya kamari kwenye redio na TV, Pigeni pia marufuku kwenye SIMU. Ni ngumu kukaa lisaa bila kupokea haya maujumbe (SMS) ya kamari kupitia simu za mkononi, unaweza ukimbilie kufungua simu kuhisi kuna kitu cha maana unakutana na Tangazo la kamari. Swali lingine ni...
Back
Top Bottom