ujasiri wa wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Ujasiri wa wakenya kama kina Boniface Mwangi kuanika kudhalilishwa kingono wakirekodiwa ni wa kuigwa, Watanzania kama kina Roma wapo kimya hadi leo

    Inahitaji mtu kuwa jasiri kuongea yaliyokukuta huku ukijua ulirekodiwa video ukiwa uchi huku ukidhalilishwa kingono na kutishiwa video zako kuvuja ukifungua mdomo. Safari ya kuitafuta haki hujaa maumivu na aibu, watanzania wengi huona bora kuficha aibu kuliko kupigania haki.
  2. Mfikirishi

    Maandamano Kenya ni Ukomavu wa Akili

    Binadamu ni akili inayoishi ndani ya mwili! Na akili inahitaji elimu bora ili kuikomaza vizuri. Siasa na serikali ni mifumo ya kijanja janja sana. Inahitajika akili iliyokomaa kuweza kukabiliana nayo! Maandamano yanayofanyika nchini Kenya hayana viongozi wa kisiasa! Ni vijana walioelimisha...
Back
Top Bottom