UHURU WA ZANZIBAR TAREHE 10 DECEMBER 1963
Naikumbuka siku hii kama jana vile.
Nilikuwa na umri wa miaka 11 na vitu viwili vitatu ndivyo vilivyonasa kwenye kichwa changu.
Kwanza ni kumuona Mzee Abdulrahman akitoka nyumbani kwake kashika sanduku anaingia kwenye taxi anawaaga majirani kuwa...