Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
Ndugai alikuwa Spika wa kwanza kujiuzulu kama sijakosea, na alijiuzulu baada ya kuongea kitu kuhusu nchi kuuzwa kwa sababu ya madeni, nilipata wasiwasi kwamba kama upo chama kimoja na Rais basi huruhusiwi kuwa na maoni tofauti,niliona kuminywa kwa Uhuru wa maoni.
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.
KAMPUNI ya Jamii Media, ambao ni wamiliki wa mitandao maarufu ya mijadala kwa jamii kupitia mitandao ya jamii,JamiiForums na FikraPevu nchini Tanzania, imelaani kitendo cha baadhi ya kundi/watu walioishambulia miundombinu ya kampuni hiyo na kuzuia kupatikana kwa huduma zake kwa siku kadhaa.
Kwa...