Nalaani hatua yoyote ya Serikali, Taasisi au mtu binafsi anayezuia waumini kuabudu kwa hiari yao ndani ya Makanisa au mahali pengine pa Ibada.
Waumini kuzuiwa kusali katika Makanisa yao ni za kusikitisha, kinyume na maadili yaTtaifa letu na zinakiuka misingi ya haki za binadamu kama...
Tafadhali mods naomba muuache uzi huu ili tuulizane na kupata majibu ya maswali yanayohusu hatima yetu.
Wadau wa JF na Watanzania wote. Ni juma la tatu sasa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Gwajima limefungwa na kusababisha Waumini kunyimwa haki yao ya Kikatiba juu ya uhuru wa...
Wakuu habari zenu,
Kiukweli nimekuwa nikifuatilia kwa utulivu kinachoendelea kuhusu baadhi ya viongozi wa dini nchini, hususan tukio linalomhusu Askofu mmoja ambaye kwa sasa jina lake limekuwa gumzo lakini kwa kweli kinachonigusa si jina lake, bali kile kinachowakumba waumini wake.
Leo nimeona...
“Hatari sana kuna mwenzetu amepigwa rungu amezimia kisa ameabudu hatujafanya fujo yoyote sio mwizi anataka haki yake ya kuabudu tunanyimwa uhuru wa kubudu katika taifa huru”
Ni maneno ya muumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (hakuwa tayari kutaja jina lake) ambaye alikua miongoni mwa waliokuwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi.
"Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia soma > ACT Wazalendo...
https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y
I. Usuli
Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika:
KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..
Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa.
Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama...
WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI
Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada
Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi?
https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE
Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
Ni mchezaji mkimya na mtulivu sana lakini ana balaa uwanjani, mchezaji pekee ambae ana uwezo wa kupiga chenga mpaka wachezaji 6 na kipa, n.k.
Mwaka 2023 waarabu walikuwa tayari kumlipa Euro bilioni 1.4 kwa mwaka sawa na Shilingi za kitanzania Trilioni 4 na bilioni 30 lakini aliwapiga chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.