uhalifu wa kivita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Iran kuvua magwanda na kukaa kati ya raia kuwa kinga dhidi ya mashambulizi ni uhalifu wa kivita na hao raia watahesabiwa kama jeshi

    Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara. Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele. Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
  2. R

    JamiiForums Tanzania ICC yamhukumu Kiongozi wa Janjaweed Mohamed Rahaman miaka 20 jela kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu Darfur

    Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur! Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya zaidi ya watu 10,000 aliowaua majumbani!!!
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani wa Bangadesh ahukumiwa Kifo kwa Uhalifu wa kivita

    Sheikh Hasina, waziri mkuu wa zamani wa Bangladesh, amehukumiwa kifo na Mahakama Maalum ya Uhalifu (International Crimes Tribunal) kwa tuhuma za “Uhalifu dhidi ya binadamu” (crimes against humanity). Mahakama ilibaini kwamba aliongoza ukandamizaji mkali wa maandamano ya wanafunzi mwaka 2024...
  4. JamiiForums Tanzania Hii njia ya leo aliyopita Netanyahu kuelekea Marekani, anakimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita?

    Wakuu, katika hali isiyo ya kawaida, Waziri mkuu wa Israel leo ametumia njia isiyoyakawaida kuelekea New York, kitu kilichoibua mjadala juu ya waziri mkuu huyo kukimbia kukwepa kupita katika anga la nchi za Ulaya ili kukimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita. Netanyahu aliondoka Telaviv...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
  6. JamiiForums Tanzania Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  7. JamiiForums Tanzania Guterres: Israel kushambulia vikosi vya UN ni uhalifu wa kivita

    Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita. Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…