uhaini wa watanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    GE2025 Watu 9 washtakiwa kwa Uhaini Makambako, idadi yafikia watuhumiwa 196 nchi nzima

    Watu tisa wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Njombe wakikabiliwa tuhuma za kosa la uhaini na kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 makosa ambayo waliyalifanya kwa kipindi cha kati ya mwezi March mpaka Octoba 30 mwaka 2025. Akisoma...
  2. Heparin

    GE2025 Watanzania 17 washtakiwa kwa Uhaini Dodoma, idadi yafikia watu 162 nchi nzima

    Idadi ya wanaotuhumiwa kwa Uhaini inazidi kuongezeka. Awali, Jamhuri ilipeleka watu 145 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akiwemo Mfanyabiashara Maarufu Jennifer Jovin (Niffer). Sasa, Jamhuri imeongeza watu wengine 17 kwa tuhuma hizo hizo, na kesi yao itaendeshwa na Mahakama ya Dodoma. Pia...
Back
Top Bottom