uhaini wa niffer

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Ukatili mkubwa huu, huyu kijana anayetuhumiwa pamoja na Niffer kesi ya uhaini apandishwa kizimbani akiwa na majeraha makubwa

    Huyu kaka ni mmoja kati ya Vijana ambao wameshitakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya Uhaini. Hii picha imepigwa wakati anashuka kwenye Karandinga Soma: Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii kwa Mashtaka ya Uhaini, idadi yafikia watuhumiwa 291 nchi nzima Ukizoom hii picha utagundua kwamba...
  2. Heparin

    GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
Back
Top Bottom