1. Nipo Kisiju, idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje?
2. Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi, KUSWALI/KuSALI na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana na watu hawapendi kazi ni mwendo wa swala na...