uenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KWELI PreGE2025 Emmanuel Ntobi amevuliwa uongozi uenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    Wakuu naomba msaada wa taarifa hii kuwa Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti imefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa...
  2. PreGE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti. “Kuna kundi...
  3. Hakuna uhusiano wowote wa Sadaka za Mbowe kwa Mh.Lissu na Lissu kuitaka nafasi ya Uenyekiti Taifa, vinginevyo Mbowe awe mkweli tu!

    Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu? Kumpa nyumba ya kukaa pale Dodoma inaleta uhusiano wowote kwenye kugombea nafasi aliyonayo mbowe...
  4. PreGE2025 Kama Mbowe alipatana na Lissu asigombee uenyekiti, kwanini alimsakazia Wenje wapambane kwenye Umakamu?

    Mbowe analaumu Lissu kugombea Uenyekiti huku akilalamikia kumsaidia Lissu wakati tukijua yeye ni alimsaidia Lissu ili kufanikisha biashara zake za kisiasa. Sasa kama walikubaliana abaki na umakamu wake kwanini alimsakazia wenje washindane nae? Pia soma - Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje...
  5. Q

    Naomba ushauri, uenyekiti kura yangu kwa Mbowe, M/Mkiti kura yangu kwa Heche

    Hiyo combination ni sahihi? Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei. Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea sahihi Wenje hapana. Heche is fit even for chairmanship. Lissu - Wenje it will be a worse combination...
  6. Mbowe akishindwa Uenyekiti wa CHADEMA, karibu CCM kwa Maendeleo ya Taifa

    Great Thinkers! Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  7. K

    Hizi hapa sera zinambeba TUNDU LISSU kuchaguliwa uenyekiti chadema

    Sera za Tundu Lissu ndani ya CHADEMA zimekuwa zikijikita katika misingi ya demokrasia, uwajibikaji, utawala bora, na haki za binadamu. Hapa chini ni baadhi ya mambo makuu ambayo yameonekana kama sehemu ya msimamo na maono yake kwa chama na taifa: 1. Kuimarisha Demokrasia ya Ndani ya Chama...
  8. PreGE2025 Hizi ndizo hoja zitakazotumika kuizika CHADEMA endapo Mbowe akiibuka mshindi wa kiti cha uenyekiti Taifa, Ongezea nyingine

    Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini? Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
  9. PreGE2025 Kuondoka kwa Lissu CHADEMA baada ya kushindwa Uenyekiti kwa fedheha kutakifanya chama kuwa imara zaidi

    Infact, Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla. Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana...
  10. Kiwango cha juu cha Elimu ya Menyekiti anayemaliza muda wake CHADEMA

    Mwenye kujua kiwango cha juu cha Elimu ya Mwenyekiti anayaliza muda wake CHADEMA
  11. PreGE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

    Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi, Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025. ==== Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali...
  12. Askofu Mpemba: Kwa Mbowe uenyekiti ni muhimu kuliko malengo ya CHADEMA

    https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana. Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza...
  13. L

    Matukio makubwa yaliyotikisa Nchi kwa mwaka huu: Kifo cha Hayati Mwinyi na Lowassa. Kutenguliwa kwa January Makamba na Lissu Kugombea Uenyekiti

    Ndugu zangu Watanzania, Nitawaleteeni Matukio Makubwa yaliyotikisa Nchi yetu na kuteka hisia za Watu wengi sana hapa Nchini. Nitakuwa nawaleteeni awamu kwa awamu.Leo naaanza na haya yafuatayo. Tukio la Kwanza lilikuwa ni lile la kufariki kwa Waziri Mkuu Mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa...
  14. PreGE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

    Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
  15. Mambo ya msingi yaliyowasukuma Lisu na Mbowe kuwania Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Great Thinkers, Nimerejea hotuba za wagombea wawili wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo kila mgombea ameyatabainisha kama sababu zilizomsukuma kuwania nafasi hiyo. Kwa ambao ni wapambe ama wapiga kampeni wa kambi hizi, mnaweza kuja na uchambuzi wenu iwapo...
  16. Q

    Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025

    Edwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika...
  17. Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

    Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda. Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi...
  18. PreGE2025 Mbowe akishinda uenyekiti CHADEMA, hali kwenye mikutano ya hadhara itakuwa hivi

    USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
  19. Wasomi wengi na wanaopenda elimu wanamuunga Tundu Lisu kugombea uenyekiti. Upande ule wengi wao elimu yao ni tiamaji tiamaji

    Habari Wakuu! Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti. Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
  20. Lissu kupata uenyekiti wa chadema kumemshinda na itakua ni ndoto za kimweri kuupata, nadhani kupata urais wa Tanzania itakua ni ndoto za alinacha

    Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema. Ni dhahiri, hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…