Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini
Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye...
Way way back,
Hizi chuma kipindi tunakuwa zingine zilikuwa zinafichwa kwenye kabati. Mambo yetu yale pale, mezani zinawekwa za lufufu tu sasa ujichanganye ukaweke za mzee kwenye deki na umeme ukatike ibaki humo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.