udasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vibweka UDASA End of Year Party - Waislam wachambwa LIVE!

    1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani. 2. Vinywaji (visivyo vilevi) vilikua adimu. 3. Waislamu waitwa kucheza nyimbo ya taarabu. Toka lini taarabu NI nyimbo ya kiislamu...
  2. GE2025 Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

    Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi. ============ Ndugu, Watanzania Wote, Mabibi na Mabwana, UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na...
  3. Sauti ya UDASA ni upanga kwa wakuu!

    Jumuiya ya wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDA imetoa tamko zito kupinga vitendo vyautekaji. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Anangisye yeye amenukuliwa na Nipashe Digital akisema kuwa msimamo wa UDASA si msimamo wa [Uongozi wa] Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  4. GE2025 UDSM yailaani UDASA kwa kukosa “Maadili ya Umma” baada ya kulaani uvunjifu wa haki nchini

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu...
  5. UDSM wafanya ubunifu wa gari la umeme

    1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa. 2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao. NB: Poleni wa-Tanganyika. **Wao mwaka mzima...
  6. Wanataaluma (UDASA) wamelala fo fo fo!

    Hivi Hawa jamaa wanajielewa kweli? Yaan wamelala kama vile makada. Nakumbuka Zama za Chachage palikua pa Moto kule Mlimani NB: Mikopo, Katiba Mpya zingeshachambuliwa na kutolewa maazimio. Ila Hawa hawawazi huko.
  7. Grano Caffe Vs UDASA Club

    Hizi ni sehemu za kujiburudisha kwa vinywaji/chakula kwenye compound moja hapo jijini Dar. Ila sehemu moja pamoja na kulisha wasomi wakubwa nchi hii mazingira ni hafifu (ikiwemo vyoo vyake). Sijui wasomi wetu wanakwama wapi? GRANO CAFFE
  8. Rais Samia on SabayaKakokoism UDSM

    Her Excellence, kindly be notified that there is no single Tanzanian University in the list of top 3,000 Universities in the World. UDSM used to be the best in Africa but now it is falling down at a light speed due to a wide spread of Sabayakokoism (Sabayaism + Kakokoism). Kindly suspend or...
  9. GE2020 UDASA yatoa tamko kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia Kanuni, Sheria, Katiba

    TAREHE: 19 SEPTEMBA 2020 Ndugu Wananchi na Wanahabari, Mnamo Tarehe 26 Agosti 2020, Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) ilitoa tamko ambalo pamoja na mambo mengine lilitoa rai kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia kanuni, sheria...
  10. Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…