Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa onyo kali kwa waombaji wa mikopo, ikisisitiza kuwa haitavumilia vitendo vya kughushi nyaraka kwa lengo la kujipatia mikopo isivyo halali.
Onyo hilo limetolewa baada ya wanafunzi 17 pamoja na mhitimu mmoja kutoka vyuo mbalimbali vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.