Mwandishi wa CNN Larry Madowo amesema pamoja na uwepo wa kampeni na jitihada kubwa za kufubaza ukweli zinazoendelea kwa siku mbili sasa kwenye mitandao ya kijamii tangu watoe ripoti yao ambayo ameiita ni sehemu ndogo tu ya uchunguzi wao, waliainisha mambo ambayo tu wanaweza kuyathibitisha...
Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani"
Afafanua hali hiyo,
je wafungwa waliopatikana na hatia wanapelekwa jela ipi
Fedha za kuendesha kesi ICC hutoka wapi
Mawakili wa...
Kwamba kuna makaburi ya halaiki huko Kondo ? Kondo Dar es salam watu walifukiwa kwa mamia kama mbuzi?
Mwanza maiti zimeonekana zilirundwa kama magunia.
Watu hawakujitokeza kupiga kura kabisa. Maana hata 10% hawakufika.
Ila bunduki ziliwanyamazisha wananchi ambao hawautaki utawala wako.
Je...
Shirika la Habari la CNN kupitia uchunguzi wake limebaini kuwa video za vijana waandamaji waliouawa wakati wa maandamano ya Oktoba 29, 2025 kisha miili yao kuonekana kwenye Hospitali za Sekou Toure Mwanza na Mwananyamala DSM ni halisi.
Kwa mujibu wa CNN, daktari mmoja wa Sekou Toure...
Uchunguzi huru uliofanywa na CNN kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025 umebaini Mamlaka za Tanzania kupitia Jeshi la Polisi zilitumia nguvu kubwa kudhibiti waandamanaji, kiasi cha kusababisha mamia ya watu wapoteze maisha.
Katika uchunguzi wake, imebainika pia baadhi ya miili ya watu waliouawa...
Wakuu,
Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam.
Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
Wakuu,
Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala yake wapelekwe mochwari wafie huko.
Uchunguzi wa CNN kuhusu mauaji yaliyotokea Tanzania wakati wa Uchaguzi umekamilika na utaachiwa rasmi duniani kote Novemba 21, 2025.
Safari hii serikali dhalimu haina pa kujificha. CCM na machawa wenu kazi mnayo.
Mlidhani kuua watu gizani ukweli hautajilulikana. Leo EU imewapiga pini, sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.