Kama LISSU angeamua kua kama Mbowe akakiingiza Chama kwenye huu upuuzi wao ambao hautafanyika bila Reforms, hizi siku za Kurejesha Fomu ingekua ni vita, Wagombea Upinzani wangefanyiwa hila za Kila ainaz kuanzia kutekwa, kuuwawa, Fomu kunyakuliwa, Mkurugenzi kukimbia n.k
Mbowe alituchelewesha...
Jumamosi Agosti 9, 2025, Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu amechukua fomu Tume Huru ya Uchaguzi kugombea Urais wa Tanzania akiwa na mgombea mwenza, Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi; hii ni mara ya tatu kwake kufika chombo hicho cha juu cha uchaguzi, safari hii ikiwa kubwa zaidi kuliko...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeingia kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kasi ya aina yake. Hadi sasa, zaidi ya wanachama 5,475 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za ubunge na uwakilishi. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Julai 3,2025 na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
Lengo lake ilikuwa nini hasa?
Tulishajipanga juchukua jimbo
Siku chache kabla ya kipyenga akasema anagombea nasi tukaghairi
Siku ya mwisho ya kurudisha fomu anasema hagombei tena
Hii kitaalam inaitwaje?
Pia soma Pre GE2025 - Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa...
Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
Natatizwa na wanaohofia hili wimbi la uchukuaji fomu, hasa za ubunge kwa tiketi ya ccm. Ni haki yao kulingana na katiba yao na ilani yao. Kadhalika ni takwa la kikatiba mradi tu ujue kusoma na kuandika.
Binafsi naamini kuwa vyombo vya uteuzi ndani ya ccm havitafanya makosa kama awali. Bunge...
Leo mitandao yote imezima, CCM imezima takataka zote za uhaini, za no reform no election, hakuna cha Heche wala mamake Heche leo, leo ni mwanzo mwisho CCM.
Hivi kwa mziki huu wa watu wenye majina makubwa na mvuto kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama unawezaje kuzuia uchaguzi wewe?
CCM ni chama...
Nimepitia mitandao ya kijamii leo, na habari zilizotamalaki ni makada wa CCM kuchukua fomu. Ni wazi sasa wimbo wa "Tunazima zote, tunawasha kijani" leo umepata maana halisi.
Mwitikio huu mkubwa unatoa uthibitisho wa ukweli wa takwimu kuwa hiki ndicho chama chenye wanachama wengi zaidi nchini...
WABUNGE wa CCM walalamikia utaratibu mpya uliotangazwa na Chama cha Mapinduzi wa kuchukua fomu kuanzia tarehe 1 Mei 2025 tofauti na miaka yote ambapo mchakato wa kura za maoni huanza baada ya kuvunjwa Bunge na kueleza kuwa katika kipindi hicho itafika siku Bunge litakosa Mbunge hata mmoja kwani...
Hali inakuwa si nzuri kwa vyama pinzani nchini kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambapo kila leo unasikia wanakutana na vibwanga. Leo ACT Wazalendo wanasema wagombea wao bila NIDA basi fomu awapati.
Mbona tuliambia kwamba uchaguzi huu utakuwa wa uhuru na haki! Lakini hali na kasoro kibao...
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani...
Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya
Hawa hapa ni Wananchi wa Kata ya Ndato wakiwasindikiza Wagombea wa Chadema kuchukua fomu.
Soma Pia: CHADEMA waanza kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.