uchu wa madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Ally Makwiro: Wanaopinga uchaguzi wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa

    Mratibu wa Taasisi ya Jamii Mpya Ndugu Ally Makwiro amesema wamejipa jukumu la kuelimisha Taifa kuhusu watu ambao wanapinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, amesema kuwa watu hao wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa na wanatumika na watu wa nje kuvuruga amani.
  2. Tlaatlaah

    Hivi pale ACT-Wazalendo tatizo ni ombwe la uongozi makini wa kitaasisi au shida ni uchu wa madaraka na kukurupuka kwa Luhaga Mpina kugombea urais?

    Hii ni kashfa kubwa na ya kipekee kwa uongozi mzima wa ACT-Wazalendo kitaifa, hasa katika kipindi hiki nyeti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kihistoria wa Tanzania. Swali la msingi ni: kweli viongozi wote wa ACT-Wazalendo hawajui taratibu za kikatiba zinazowataka wanachama wapya waendelee kuwa ndani...
  3. kalisheshe

    Ugumu wa maisha bila kazi na Uchu wa Madaraka; Kisa cha "Endorsement" za Wallace Karia

    Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa sababu wana uchu pekee, bali pia kwa sababu nchi imetengeneza mazingira ya ‘kila mtu abebe chake’...
  4. K

    Walio na uchu wa madaraka toka CHADEMA sasa ni ruksa kujiunga na vyama vingine

    CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
  5. Tlaatlaah

    Kwa tamaa na Uchu wa Madaraka Lissu amejidhulumu nafasi ya Uongozi, Pia amejikosesha fursa ya wazi kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Kwa heka heka za uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ngazi ya taifa zinazoendelea, wasomi vijana na wadau wa siasa nchini, wanapata fursa na nafasi muhimu sana ya kujifunza, kuelewa na kufahamu umuhimu wa kua na subra na kutathmini mambo kwa kina na umakini mkubwa kabla ya kufanya maamuzi na...
  6. S

    Vijana tuamke, hawa CCM hawana huruma watachukua kila kitu

    Maisha yamekuwa magumu nchi inatafunwa, hakuna kinachofanyika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi. Fedha zinakopwa kwa ajiri ya miradi zinaishia kwenye mifuko ya wanasiasa. Kazi yao nikusema wanajenga nchi huku hakuna kitu kama hicho. Wanajenga mifumo ya kutengeneza watoto wao kuishi maisha...
Back
Top Bottom