Mimi shabaki lialia wa Yanga sc ,nimefurahishwa sana na kitendo cha mashabiki wa makolo kukataa ukisabengo wa kisiasa katika mambo ya timu yao..
Mashabiki wa Simba sc hakika mtakumbukwa kwa msimamo wenu thabiti wa kukataa kutumika kama daraja la watawala kujipatia umaarufu kunuka kupitia...