uchapakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mkuu Wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo Ammiminia Sifa na Pongezi Paul Makonda Kwa Uchapakazi wake Uliotukuka. Ampa Baraka na Nasaha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani. Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
  2. M

    GE2025 Ilani za CCM huendana na umahiri/uthubutu na uchapakazi wa mgombea? Ilani ya 2025/2030 watanzania tuikataeni

    Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni umahiri na uthubutu na uduni wa kusimamia kwa mgombea wa CCM kuwa chini sana au ni nini? Haiainishi...
  3. Uchapakazi na uteuzi wa Samia kwa Gerson Msigwa wawakuna Yericko Nyerere na Malisa, wamwaga pongezi

    Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
  4. Leo nimeshuhudia Umahiri, unyenyekevu, na uchapakazi wa Waziri Dr. Dorothy Gwajima Mubashara yaani ana kwa ana

    Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late). Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
  5. Ukiacha sifa ya uchapakazi, bwana yule si wa tofauti sana na wengine

    Bwana yule alipingwa na kuandamwa hasa na daraja la juu(elites) la ndani na nje kwa pamoja kwa sababu hakuwa polished, alikuwa mtu blunt. Mawazo yake yawe mabaya au mazuri alikuwa akiyasema kwa namna ile ile tu bila kuremba, akikichukia alikuwa hajitahidi kuonyesha anakupenda, akikasirika au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…