Desemba 2, 2025 - Dar es Salaam
"Kiburi hutangulia maanguko, na roho ya kutukuza hutangulia maanguko." — Mithali 16:18
Leo, Rais Samia Suluhu Hassan alitoa hotuba kwa wazee wa Dar es Salaam - si kuomba msamaha kwa vifo vya Watanzania, bali kujitetea. Badala ya kulilia familia zilizopoteza...
Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
amani
baada
inaweza
kisiasa
kupata
oktoba
oktoba 29
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uchambuziuchambuziwakisiasa
uongozi
uongozi wa samia
Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
afrika
afrika kusini
chama cha mapinduzi
demokrasia ya kiafrika
hadithi
haki za kiraia
jamii za asili
katiba
katiba pendekezo
katiba ya tanzania
kusini
maendeleo ya afrika
mageuzi ya kitaasisi
mapinduzi ya kiutawala
mazingira na maendeleo
mfumo wa kisheria
polepole
rais samia
serikali na wananchi
siasa za afrika
siasa za tanzania
tume ya katiba
uchambuziwakisiasa
uhuru wa mahakama
usawa wa kijamii
utawala wa sheria
viongozi wa afrika
vyama vya upinzani
wapinzani tanzania
watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.