uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. "Kuna Maisha baada ya Uchaguzi" Kauli ya Kipuuzi inayotumiwa na Wapumbavu kuhalalisha Maisha yao ya Kifisadi !!

    Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii . Hoja zao ni zile zile Amani ikipotea tutaseka. Tuilinde Aman yetu . Kuna Maisha baada ya Uchaguzi. Wapumbavu Wakubwa Nyinyi ,msokua na Haya ,majizi na wazandiki ,mifilisi ya Nchi hii Maisha...
  2. CHADEMA Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar

    Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
  3. Wanavyokunjaga sura, huwezi amini wanapelekeshwa na wajinga kama CCM. Wanapigishwa Mistari kupiga kura wakati Uchaguzi ulishaamuliwa.

    Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote. Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
  4. K

    Je Kuna mtu anawaza juu ya umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi.

    Leo ndo hitimisho la novena na waislamy Leo wapo diamond jubilee kumuombea raisi ashinde kwa kishindo. . . Acha tuone mwisho wake
  5. INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka. Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
  6. T

    Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  7. R

    CHAUMMA ni vigumu kuungwa mkono na wananchi maana wametokana na usaliti. Baada ya uchaguzi nao wanaishia

    Uchaguzi ukiisha tu, nao wanapotea maana hawana mtu hata mmoja nyuma yao. Na watu wana hasira ya kuwa wasaliti wa chadema ya kweli! Watakuwa toilet papers as put by Kipanya
  8. GE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi imeficha taarifa za wapiga kura?

    GT Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu? Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆...
  9. Poleni sana Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Polepole amekuja kututhibitishia tu kwa nini Viongozi wa CCM wamekuwa na kiburi cha Uchaguzi

    Ramadhani Kailima Polee sana Imeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa kweli itatuweka huru. Utetezi uliotoa Kailima hauwezi kubadilisha chochote, zaidi unazidi kuongeza hasira zetu Wananchi dhidi yenu nyie Madhalimu na Wahuni mnaohujumu maamuzi ya Wananchi. Kwa muda mrefu tulikuwa...
  10. TUMEPOTEZA TROPHY YA CHAN2024 SABABU VIONGOZI WAPO BUSY NA UCHAGUZI; kipindi tunaomba Watanzania kujitokeza kuna watu wamejifungia sehem wanachaguana.

    Kwenye Mada kwa ufupi, Ushahidi wa hili , siku kama ya jana ilitakiwa Taifa lote concentration iwe Kwa Mkapa maana mambo ya Maendeleo tutawapa Waarabu na Wachina kama PPP lakini cha kushangaza kuna watu walijifungia sehem kutafuta kupitishwa nafasi ya Ubunge badala ya kuhamasisha Watanzania na...
  11. Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  12. Esau: kuelekea uchaguzi mkuu tuanzishe madawati ya uthibitishaji habari

    Akiwasilisha mchango wake katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Esau Ng'umbi, alishauri kuanzishwa kwa madawati ya uthibitishaji wa taarifa ili kukabiliana na taarifa potofu kipindi. Kumbuka katika kipindi cha uchaguzi taarifa...
  13. Hakuna kampuni ya kubeti matokeo ya uchaguzi?

    Kama ipo nijulisheni kuna chimbo lina odds za uhakika mwezi october. Nataka kusuka mkeka niweke milioni 200. Mkeka nitakaosuka utakuwa hivi Rais - Mama Abdul wa Dp World Mbunge Moro - Abood Mbunge Gairo - Shabiby Mbunge Arusha - Makonda Mbunge Iramba - Mwigulu Mbunge Mtwara mjini - Double...
  14. K

    Uchaguzi ni kama maigizo ya pwagu na pwaguzi

    Uchaguzi ni kama maigizo ya pwagu na pwaguzi Tume tayari tunajua wizi wa data chaguzi CCM A VS CCM B Polepole kapiga msumari wa mwisho
  15. GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  16. F

    Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  17. GE2020 Uchaguzi wa mwaka 2020 na maajabu yake

    Heshima sana wanajamvi, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kilikuwa Arumeru kata ya Bangata. Nakumbuka asubuhi ya saa 2:35 nilikijongelea kituo cha kupiga kura Shule ya Msingi.Nikaanza kutafuta orodha ya majina ambayo yalikuwa yameorodheshwa kwa kufuata alphabet baada ya kuliona jina langu naingia...
  18. E

    Kuna yeyote anae mfahamu anaweza jaza Nyuki vituo vyote vya Uchaguzi October,2025 .

    Naona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana . Tusaidiane kwa hili
  19. B

    GE2025 Sasa ni rasmi uchaguzi wa 2025 "HAUTAKUWEPO"

    Habari ndio hiyo. CCM na mabilioni Yao ya uchaguzi UCHAFUZI hayaendi kuzuia hili. Project ACT na CHAUMA ilishafeli kabla ya kuanza, CCM kuendelea kuwapa pesa vyama hivyo ili kufanya showoff za kujaza watu kwenye mikutano Yao Hilo nalo ni sawa na kusukuma upepo. Kwa maana Kila mtu Sasa anajua CCM...
  20. R

    Polepole, sasa hilo umeliweka wazi la the Trio- NIDA-CCM-INEC. The big question is WHAT NEXT KUZUIA UCHAGUZI

    Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…