Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi TFF Wakili Kiomoni Kibamba akizungumza n kuhusu malalamiko dhidi yake kwenye mchakato wa uchaguzi TFF. amesema mawakili wote walimdhalilisha atawapeleka mahakamani na kuwataka wamlipe Bilion 2
Ilivyokuwa awali...
Wakili Doris Kafuku akizungumza kwa niaba ya...
Leo nimesikia maelezo ya Mawakili watano waliomuwekea pingamizi Rais anayemaliza muda wake Ndugu Karia. Binafsi maelezo yao yana mashiko. Hivi kweli Rais anayeheshimika kwa nini asifuate taratibu na kanuni.
Kama ilivyo sheria na taratibu za TFF mgombea wa Urais wa TFF sharti ni kuwa...
Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki .
Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia.
Yaliyofanyia TFF ni mambo ya ajabu sana , napo kuuli mbiu ya No Reforms No Election ifanyike haraka kwenye...
Kamati ya uchaguzi ya TFF bilashaka inaundwa na watu wa mpira nchini, na watu wanaowania kugombea uongozi wa TFF ni watu wanaofahamika CV zao, hii kanuni ya endorsement kwa watia nia Iko kwa sababu gani?
Je, wanaotoa endorsements wanawafahamu zaidi watia nia kuliko walioko kwenye Kamati ya...
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi amekuja mbele kuudanganya Umma kuwa tuchukue fomu wakati wanajua Endorsement zote zimeshachukuliwa, Yani tunaochukua fomu tunatoa swadaka, mimi sitakubali kutoa laki tano yangu halafu iwe kama nimechangia mapato ya TFF."- Eng. Mustapha Himba.
🗣"Tunataka kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.