Baada ya uchaguzi wa urais nchini Cameroon uliofanyika Oktoba 12, 2025 Tume ya Kitaifa ya Kuhesabu Kura imetoa matokeo ya awali yanayomuonyesha rais aliyeko madarakani, Paul Biya, akiongoza kwa zaidi ya asilimia 53 ya kura zote
Kwa mujibu wa tume hiyo, Biya amewashinda wapinzani wake, akiwemo...
Oktoba 12, 2025 Wananchi wa Cameroon walishiriki zoezi la kupiga kura kumchagua Rais atakayeshika Madaraka kwa Muda wa Miaka saba kama ilivyo katiba ya nchi hiyo
Uchaguzi huu umekuwa na vuguvugu tofauti kuhusiana na Rais anayemaliza Muda wake Paul Biya kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.