Chama cha Wanasheria wa Uganda (ULS) na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS) wamefungua kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika Masharik iliyoko Arusha, wakilalamikia ukiukwaji wa viwango vya kidemokrasia katika uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026.
Wanadai Tume ya...
Maafisa wawili wa uchaguzi walikamatwa katika kituo cha kujumlishia kura cha Kigando, wilayani Mubende, kwa tuhuma za kuhusika na udanganyifu wa uchaguzi.
Watuhumiwa ni Kasaija Robert, Afisa Mrejeshaji wa Parokia ya Bubanda, na Mutabaazi Moses, askari polisi aliyekuwa zamu. Walikamatwa baada ya...
Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Samoei Ruto, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, kufuatia kutangazwa kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu uliokamilika nchini humo tarehe 17 Januari, 2026.
Katika barua yake rasmi iliyotolewa leo Januari 18, 2026, Rais Ruto...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefafanua msimamo wake katika uchaguzi wa mwaka huu, ambapo anatafuta kuongeza muda wake wa uongozi kwa miaka mingine mitano, hivyo kuongeza zaidi ya miongo minne aliyokaa madarakani.
Mwaka 2005, Bunge la Uganda lilipitisha marekebisho tata ya Katiba yaliyoondoa...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Uganda, Simon Byabakama, amesema amepokea vitisho vingi vinavyomtaka asimtangaze mgombea fulani kuwa rais wa uchaguzi utakaofanyika Alhamisi (15 Januari 2026). Lakini yeye anasema hana hofu hata kidogo hata kama vitisho vinatoka kwa watu wakubwa serikalini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.