uchaguzi tanzania

Uchaguzi is a joint initiative spearheaded by Ushahidi in 2010 to monitor the Kenyan constitutional referendum. Ushahidi collaborated with the Hivos Foundation, the Constitution and Reform Education Consortium (CRECO), INFONET, and the Canadian International Development Agency (CIDA) to develop an ICT platform, which enables citizens, the civil society, election observers, law enforcement agencies and humanitarian response agencies to monitor election incidents of significance using any technology at their disposal.
The initiative has since successfully been implemented in the 2010 Tanzanian general elections, the 2011 Zambian general elections and in the 2013 Kenyan general elections.

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Katibu wa Mambo ya Nje CHADEMA Deo Munishi aeleza Uporaji wa Uchaguzi Tanzania Kwenye Mkutano wa Junge Union Rust, Ujerumani

    Munishi anazidi kuipeleka CHADEMA kimataifa, kuna kitu anazidi kukijenga zaidi ndani chama chake! ================= Leo mjini Rust, Ujerumani pembezoni mwa mkutano mkuu wa Junge Union, Katibu wa Mambo ya Nje wa chama Deo Munishi amekutana na ujumbe wa mataifa mbalimbali akiwemo Mwenyekiti wa...
  2. A

    Nani huongoza nchi wakati wa uchaguzi Tanzania?

    NI wakati gani mamlaka ya Rais aliyepo madarakani hukoma katika kipindi cha uchaguzi kabla ya Rais mpya hajaapishwa?
  3. M

    GE2025 CHADEMA: Matokeo yaliyotangazwa hayana uhalisia, hakukufanyika uchaguzi Tanzania

    TAARIFA YA AWALI YA CHAMA JUU YA KINACHOITWA MATOKEO YA UCHAGUZI TANZANIA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapinga vikali kinachoitwa matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi. Matokeo haya hayana uhalisia wowote kwani ukweli ni kwamba hakukufanyika uchaguzi Tanzania...
  4. B

    GE2025 MaRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025

    01 November 2025 Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan : "Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
  5. B

    GE2025 Samia vs Suluhu: Gazeti la The Standard Kenya laonyesha jinsi uchaguzi wa 2025 Samia anavyoshindana mwenyenye bila mpinzani wa maana

    SAMIA vs SULUHU: The Standard’s front page reports how opposition parties have been effectively sidelined in Tanzania’s 2025 general elections, leaving President Samia Suluhu Hassan and the ruling CCM party with a largely uncontested path to victory. With leading opposition parties such as...
  6. GE2025 Seneti ya Marekani: Tumeshtushwa na hali ya Uchaguzi Tanzania. Lissu aachiwe na Polepole arudishwe

    Wakuu, Haya sio maneno yangu, ni ujumbe kutoka kwa Kamati ya Mambo ya Nje Seneti ya Marekani ambayo inaongozwa Jeanne Shaheen (D-NH), Ranking Member of the Senate Foreign Relations Committee, Cory Booker (D-NJ), Chris Coons (D-DE), Tim Kaine (D-VA) and Jacky Rosen (D-NV)...
  7. K

    GE2025 Hakuna uchaguzi Tanzania mwaka huu, kuna show kama za wasanii

    Hakuna uchaguzi mwaka huu itafika maonyesho haya ambayo msanii ni Mama Samia wanalipa na watalipa watu kwenda kupiga kura
  8. GE2025 Familia 5 za vigogo CCM zilizopenya mbio za Ubunge

    Chama cha Mapinduzi (CCM), miongoni mwa vyama vikongwe zaidi barani Afrika, kinaendelea na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Tayari kimethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atapeperusha bendera kuwania nafasi ya urais, huku kikitangaza orodha ya wagombea wa Ubunge, Udiwani na...
  9. GE2025 Othman Masoud Othman: Binafsi sina imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar

    Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani. Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais...
  10. Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini idadi ya wapiga kura Tanzania 'inazua maswali'?

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imejikuta katikati ya mjadala baada ya kutangaza kuwa idadi ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imefikia milioni 37.6. Takwimu hizi zimezua maswali mazito kutoka kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati...
  11. G

    GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza Oktoba 29 kuwa siku ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na madiwani

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025. Akizungumza katika uzinduzi wa ratiba ya uchaguzi huo jijini Dodoma leo, Mwenyekiti wa INEC...
  12. Uchaguzi Tanzania 2025: Upinzani Tanzania unajimaliza wenyewe?

    Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa vinaonekana kugawanyika kuliko wakati wowote ule. Badala ya mijadala ya sera na hoja mbadala dhidi ya...
  13. Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?

    Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara. Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
  14. PreGE2025 Utabiri uchaguzi Mkuu 2025

    Ufunuo wa Rohoni (Tazama kwa Macho ya Kiroho): Nilipouliza rohoni, ikaja picha ifuatayo: "Ninaona mti mkubwa wa kijani wenye mizizi nene katikati ya nchi, juu yake kuna mama aliyeshika taa, nyuma yake kuna upepo mkali wa manyunyu ya mvua, lakini taa yake haizimiki. Pembeni, kuna kundi la...
  15. Hongereni Tume HURU ya Uchaguzi Tanzania

    Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
  16. Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  17. PreGE2025 Spika Tulia akionesha umahiri wake kwenye kuchanganya saruji na kupangilia tofati, watafika 2025 wakiwa wamechoka sana!

    Wakuu, Hapa ni Spika Tulia kwenye one and two akituonesha alivyobobea kwenye kuchanya saruji na kupangilia tofali kama picha zinavyoonesha. Nakumbuka na msanii Kigwa alipoenda kula kwa mama ntilie na yule aliyejifanya mkulima wa nyanya, na ukulima ukaisha aliporudishwa kwenye sistimu :KEKLaugh...
  18. Roma Mkatoliki: Sera za Maji na Umeme tulipaswa kumaliza mwaka wa 10 baada ya Uhuru!

    Msanii wa muziki wa hip-hop Tanzania Ibrahim Mussa maarufu Roma Mkatoliki, ametoa maoni yake kuelekea Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa, kuhusu masuala ya uongozi na maendeleo ya nchi, akisisitiza kuwa changamoto za maji na umeme zilipaswa kutatuliwa tangu miaka ya mwanzo baada ya uhuru...
  19. PreGE2025 Hivi ndivyo CCM huiba kura na CHADEMA wasijue wameibiwaje kura

    Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa. Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM walivyopunguza matumizi ya mabavu ya dola dhidi ya CHADEMA kwenye Kampeni za uchaguzi ule. Hapo chini nimeweka...
  20. PreGE2025 CCM iombe radhi kwa madhila uchaguzi Mkuu 2020

    Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020. 1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa). 2. Kuzima internet kwa siku kadhaa. 3. Kunyang'anywa vifaa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…