Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, amesema ana imani atashinda muhula wa pili katika uchaguzi wa 2027 na kuingia katika historia kama gavana wa kwanza wa Nairobi kuchaguliwa kwa mihula miwili mfululizo.
Sakaja anasema atarejea kwa wananchi akiwa na unyenyekevu, kuwasilisha manifesto yake...
Rais William Ruto na Kiongozi wa Chama cha ODM, Oburu Oginga, wameongoza mkutano wa viongozi wa kisiasa unaohusishwa na mfumo wa Broad-Based Government mjini Naivasha, huku Kenya ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2027.
Mkutano huo unawaleta pamoja viongozi kutoka vyama vya UDA na ODM kwa ajili...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Erastus Ethekon, amesema tume haiwezi kuendesha uchaguzi katika mazingira yaliyojaa chuki, uchochezi, mgawanyiko na vurugu, huku akitoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wananchi kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Akizungumza wakati...
Mwaka 2024, Seneti ilipokea Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi uliopendekeza kuondoa sharti la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuonyesha moja kwa moja (live streaming) matokeo ya uchaguzi wa urais.
Pendekezo hilo lilitaka matokeo yatumwe kwa njia ya kielektroniki kwa vituo vya...
Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua anasema Kenya si Tanzania au Uganda na kamwe hatazima azma yake ya kuwania urais. Ameongeza kuwa viongozi wa Afrika Mashariki wameambukizana tabia mbaya, na Ruto anaonekana anaiga mfano wa Rais Museveni kukaa mpaka miaka 40, haiwezekani
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 (TZS trilioni 1.09) kwa ajili ya kuendesha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.
Awali, Tume iliomba KSh bilioni 61.7 (TZS trilioni 1.18), lakini Hazina ya Taifa ikapunguza kiasi hicho.
===
The Independent Electoral and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.