Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua anasema Kenya si Tanzania au Uganda na kamwe hatazima azma yake ya kuwania urais. Ameongeza kuwa viongozi wa Afrika Mashariki wameambukizana tabia mbaya, na Ruto anaonekana anaiga mfano wa Rais Museveni kukaa mpaka miaka 40, haiwezekani
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 (TZS trilioni 1.09) kwa ajili ya kuendesha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.
Awali, Tume iliomba KSh bilioni 61.7 (TZS trilioni 1.18), lakini Hazina ya Taifa ikapunguza kiasi hicho.
===
The Independent Electoral and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.