ubunifu

  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM: Tusikubali mafundisho ya kusifia tuu mtu na chama chetu, bali tupokee yale yenye kutia "UBUNIFU" wa kuijenga nchi kisayansi zaidi.

    Ninamsifu na ninamshukuru baba yangu mzazi kwa :- 1. Kuandaa mazingira ya kumwoa mama hatimaye nikawa duniani. 2. Kujenga nyumba ya tope na bati, na kutulelea humo, wakati huo majirani wote walikuwa na nyumba za makuti. 3. Kuishi kwa kutegemea kilimo na ufugaji ndani ya shamba la baba ...
  2. JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Profesa Kapuya alipokuwa Waziri wa Elimu na fomu za kujiunga Msalato sekondari

    Kazi ya waziri wa Elimu ni kuwa Mbunifu Tanzania ilipata waziri wa elimu Profesa Juma Kapuya . Aliposhika uwaziri ubunifu aliobuni ni wa kutaka shule zote za msingi na sekondari za Serikali watoto wa kike wawe wanavaa kiislamu kwa kuvaa vile vifunika uso na akaagiza walimu wakuu wasimamie hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera sana Hospitali ya mkoa wa Mwanza kwa ubunifu huu

    Upungufu wa watumishi wa sekta ya afya ndio changamoto kubwa, changamoto nyingine ni watumishi wachache waliopo kufanya kazi zaidi ya uwezo wao. Mfano nesi mmoja kuwahudumia wagonjwa hadi 40 au zaidi kwa siku na wakati mwingine hata kunyimwa siku za mapumziko kwa sababu ya baadhi ya zamu kukosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…