ubunge wa viti maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

    Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
  2. ofisa

    GE2025 CCM Morogoro kama mnamuogopa Abood mpeni ubunge wa kuteuliwa (viti maalum)

    Wananchi wamemchoka Mh Abood na misaada yake ya kuzika watu.kuna watu hutafuta clip ya Mbunge wao anachochangia bungeni hawakioni. Tunajua wajumbe wakipitisha jina ameshinda kwa vile ni CCM,Sasa kwa mimi nashauri wamlete mtu mwengine atupambanie kwenye barabara za lami mjini, mjini lami...
  3. R

    GE2025 Mhadhiri wa UDSM, Mary Jimmy Malle ajitosa kuchukua fomu ubunge wa Viti Maalum Elimu ya Juu kupitia CCM Arusha

    Msomi na Mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM)Mary Jimmy Malle (28),amejitosa rasmi kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum Elimu ya Juu kupitia chama cha Mapinduzi akitokea mkoa wa Arusha Malle amechukua fomu mapema leo na kukabidhiwa na katibu wa Umoja wanawake wa chama cha...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Olivia Chagula achukua fomu ya ubunge wa viti maalum wazazi Bara

    Juni 30, 2025, Mjumbe wa kamati ya Uchumi na Fedha Ya Umoja wa Wazazi CCM Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Wazazi-Bara Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Juni...
  5. W

    GE2025 Mshiu autaka ubunge wa Viti Maalum vijana

    Mjumbe wa baraza la Umoja wa Vijana wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam @dorcasmshiu amechukua fomu ya ubunge wa Viti Maalumu kundi la Vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuakisi nyanja ya sayansi na teknolojia, kusaidia vijana kupata fursa mbalimbali na kufikisha hoja za...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rose Fidelis Temu achukua fomu yakuomba ridhaa yakugombea Ubunge Viti maalumu Kundi la Vijana

    Rose Fidelis Temu Kiongozi wa UVCCM kwa nafasi ya Katibu Hamasa na Chipukizi Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro amechukua fomu yakuomba ridhaa yakugombea Ubunge Viti maalumu Kundi la Vijana. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Aliyemkabidhi fomu hiyo ni Ahmed...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Songwe, Happiness Seneda achukua fomu kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita

    Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Songwe Happiness Seneda Leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Raphia Ally Kimaro, kuwania Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake mkoa wa Dodoma

    Raphia Ally Kimaro, Mjasiriamali na Mwezeshaji wa semina za ujasiriamali kwa wanawake na vijana, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake mkoa wa Dodoma. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Mbali na kuwa mbunifu wa mfumo wa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Halima achukua fomu ubunge wa viti maalumu kundi la wafanyakazi

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Taifa, Halima Nassor amechukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalumu kundi la Wafanyakazi. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Halima ambaye...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Lovenes Sarungi, ajitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana mkoani Tanga

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lovenes Sarungi, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana mkoani Tanga, akisisitiza dhamira yake ya kuwatumikia vijana na kulitumikia taifa kwa ujumla. Sarungi, ambaye ni mtumishi wa umma na mkazi wa Mkinga, amesema...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Khadija Liganga (Dida) achukua fomu kuwania ubunge wa viti maalum katika Mkoa wa Mwanza

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa anayewakilisha Mkoa wa Mwanza, Khadija Liganga maarufu kwa jina la Dida, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa viti maalum katika Mkoa wa Mwanza. Mbali na nafasi yake ndani ya UWT, Dida pia anajulikana kama mwanaharakati...
  12. Waufukweni

    GE2025 Mkuwe Isale (Mamy Baby) achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora

    Mtangazaji na mwanaharakati wa kijamii, Mkuwe Abdul Isale maarufu kama Mamy Baby, ameonyesha nia ya kulitumikia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum. Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Tabora, Mamy Baby...
  13. mwanamwana

    PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje (CHADEMA) akimpamba Rais Samia kwa kumuimbia mitano tena

    Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama. Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.
Back
Top Bottom