Akizungumza wakati akizindua Kampeni za Chama cha Mapinduzi Kigoma Mjini leo Septema 9, 2025, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini amehusisha kutajwa kuwa chawa lakini yeye atatumia nafasi hiyo endapo wananchi watamchagua kuwa Mbunge wa Jimbo hilo...
Wakuu habari,
Nimegundua tu CCM wana akili sana na wanawaza kimkakati zaidi
Tunaweza kuona chawa hafai kuwa kiongozi, lakini wao wametumia ushawishi wa uchawa katika siasa na kuangalia wingi wa wafuasi, japo wajumbe huwa hawasomeki moja kwa moja.
Kwa hili nyomi naona kabisa Baba Levo anachukua...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12, 2025.
Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228...
Wakuu
Kumbe huyu jamaa alikuwa serious kuhusu kuchukua fomu na kugombea Ubunge wa Kigoma Mjini
Naona leo amewasili mkoa wa kigoma kwaajili ya kukamilisha hatua za uchukuaji wa fomu za kutia nia ya kugombea ubunge kigoma mjini kupitia tiketi ya CCM
Yaani mtu anaishi Dar lakini anaenda kugombea...
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Gwiji wa Utangazaji na Mawasiliano kwa Umma, Baruan Muhuza amefunguka juu ya taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu yeye kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini.
Ikumbukwe kuwa pia hivi karibuni msanii na Mtangazaji wa...
Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia!
===
Msanii na Mtangazaji maarufu...
Hoja yangu nimeileta kwa Wema tu, hasa nikikumbuka ya 2019, 2024 na nikurudishe pia 2020 ambapo uligombea lakini Aliyetangazwa kushinda Ubunge wa Kigoma Mjini ni Kirumbe Ng'enda wa CCM kwa matokeo ya uongo yaliyopangwa na Mamlaka.
Nini kimebadilika leo ambapo umechukua tena fomu ya kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.