ubunge iringa mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Vitus Nkuna kuwakilisha CHAUMMA Ubunge Iringa Mjini

    Chama cha Ukombozi wa Umma kimemteua kada wake Vitus Nkuna kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu (2025) kwa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iringa mjini Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA Tanzania Bara Benson Kigaila amemtangaza Nkuna kugombea...
  2. R

    GE2025 Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Islam Huwel, amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini

    Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Islam Huwel, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama hicho, akiahidi kuufanya mji huo kuwa kitovu cha biashara na ajira kwa vijana Huwel amesema dhamira yake ni kuhakikisha vijana wa Iringa...
  3. Just Pray

    GE2025 Wakili Ambindwile ajitosa rasmi achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini

    Ambindwile ambaye ni mtaalamu wa sheria mwenye uzoefu mpana, ambaye pia ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni ya sheria ya The Icon Law Corporate Attorneys, yenye makao yake makuu katika jengo la Law House, Mkoani Iringa. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu...
  4. W

    PreGE2025 Fadhili Ngajilo achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini kupitia CCM

    Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa Iringa Fadhili Ngajilo ametangaza nia ya kutaka kugombea Ubunge Kuelekea katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025. Ngajilo ametoa azma yake ya kulitaka Jimbo la Iringa Mjini mara baada ya kujitokeza katika Ofisi za CCM Wilaya ya Iringa Mjini Leo kuchukua Fomu ya Ubunge na...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa achukua Fomu kugombea Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa...
  6. J

    PreGE2025 Inadaiwa RC Chalamila, Steve Nyerere, RC Kenani na Mchungaji Msigwa watagombea Ubunge Iringa Mjini

    Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake Ngoja tuone 😂😂🔥 Kwako Lucas pale Vwawa 😄
Back
Top Bottom