ubunge bukoba mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Adv. Stephane Byabato ampigia chapuo wananchi Eng. Mutasingwa, Ubunge Bukoba Mjini

    ADV. STEPHEN BYABATO AMPIGIA CHAPUO KWA WANANCHI ENG. MUTASINGWA, UBUNGE BUKOBA MJINI Salaam sana ndugu zangu Naomba tusambaze ujumbe huu Leo jumatatu ni siku ya tatu tangu Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iteue wagombea Ubunge na Bukoba Mjini ikatuletea ndugu yetu Eng Johnston Johansen...
  2. M

    PreGE2025 Tetesi za RC Kagera Fatuma Mwassa kugombea Ubunge Bukoba Mjini CCM zimeanza kuleta mgawanyiko Bukoba

    Siasa za kuelekea katika uchaguzi mkuu kwa Bukoba mjini mkoa wa Kagera zimeingia shubiri baada ya kikao cha jana usku kutaka kuvujika baada ya RC Fatuma Mwasa kueleza adhima yake ya kugombea ubunge kupitia CCM katika jimbo la Bukoba mjini. RC amewaeleza wajumbe kuwa ana baraka zote za viongozi...
  3. M

    PreGE2025 Mbunge Neema Lugangira atoa msaada wa rangi Msikiti wa Matopeni Kashai

    Mbunge wa Viti Maalum Taasisi zisizo za Serikali(NGO) ameendelea kujiimarisha katika harakati za Ubunge Bukoba Mjini kwa kuendelea kutoa misaada mbalimbali Pia soma Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Back
Top Bottom