ubovu wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha: Barabara ya Lamara ni mbovu kwa muda mrefu sana, Wanasiasa kila mara wanaitumia kwenye kampeni bila kuitengeneza

    Barabara ya Lemara imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu, licha ya kuwa kila kipindi cha uchaguzi baadhi ya wagombea wa udiwani wamekuwa wakiitumia kama sehemu ya kampeni na kuahidi kuiboresha. Hata hivyo, hadi sasa hakuna hatua za maana zilizochukuliwa kuboresha barabara hiyo. Mara kwa mara...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ubovu wa barabara ya Kibaha-Pangani–Machinjio Mapya

    Nawasalimu, Nawasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Pangani–Machinjio Mapya. Barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu na haijawahi kufanyiwa matengenezo kwa kutumia greda kwa kipindi kirefu, hali inayowasababishia usumbufu na changamoto kubwa watumiaji wa barabara...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Tunduru Hospital - Mbesa iliyojengwa 2023 imeshakuwa na mashimo na kuharibika nakuhatarisha Watumiaji

    Barabara hii ni mpya na ilikamilika kujengwa mwaka 2023 chini ya usimamizi wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma. Hata hivyo, tangu kukamilika kwake imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali. Kwanza, barabara imejengwa kwa kiwango cha chini na ni nyembamba, jambo linalopunguza usalama na ufanisi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: bajeti yabebwa na begi la 12mil huku mitaa inabadilishwa jina na kuitwa “kitunda matopeni” kwa ubovu wa barabara

    Begi la Louis Vuitton Shopper Tote Bei inakadiriwa kuwa $4,850 (sawa na TSh 12.5 milioni) zatumika kubeba bajeti za Wizara kwenda kusomwa Bungeni , bajeti ambayo inge enea vizuri tu kwenye begi la 35,000 na Kuokoa mamilioni. Kwao Viongozi hiyo sio shida yao, shida ni kwenu wananchi ambao sehemu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ubovu wa Barabara Kimanga, Daladala zatishia kusitisha huduma

    Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma. Hatua hiyo imefikiwa kama njia mbadala ya kushinikiza mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kutengeneza barabara ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli zinapanda MBEYA na SONGWE kiholela

    Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000. Yaaani tunduma-mbeya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO UBOVU WA BARABARA – Kahana Mjini Kati na Maeneo ya Makazi ya Watu

    Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo: ❌...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Barabara unaathiri ratiba ya Wanafunzi wanaoenda Shule Maghweta na Matomondo Mkoani Dodoma

    Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma njia haipitiki, ni hatari jamani warekebishe barabara basi, hata wanafunzi hapo hawawezi kwenda shule. Hali ya ubovu imeongezeka tangu mvua zilipoanza kunyesha takribani mwezi mmoja sasa, Wanafunzi wamekuwa waathirika wakubwa wanashindwa kwenda...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Chelesi - Kisiwani Halmashauri ya Mji Makambako (Njombe) ni mbovu sana, viongozi wameipuuzia

    Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako. Kiukweli barabara ni mbovu sana hasa kwa nyakati hizi ambazo mvua inanyesha, tunapitia nyakati ngumu sana katika kupita hiyo njia...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025: Barabara Kuu Zinazokabiliwa na Changamoto na ubovu mkubwa kupita kiasi

    Tanzania inakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, huku ikikabiliwa na changamoto kubwa za miundombinu, hasa barabara. Hali hii inatishia maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na inahitaji umakini wa hali ya juu ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa ufanisi. Barabara zetu nyingi zimeharibiwa, zikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahadi Hewa za CCM: Barabara Nyingi zina hali mbaya, zimechakaa!

    ccm, Samia na machawa wenu iwafikie taarifa kuwa barabara nyingi za lami kuunganisha mikoa na wilaya zimechakaa! Mifano michache ni barabara za Arusha mjini! Ongezea barabara kuu inayounganisha mikoa ya Manyara, Singida na Ngeza! Kutoka Utegi kwenda Shirati kule Rorya ukirejea salama hujaumwaa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Kilolo yatoa ufafanuzi baada ya picha ya mgonjwa kubebwa kwenye machela kwa sababu ya ubovu wa barabara

    “Napenda kutoa ufafanuzi kuhusu clip ya video ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha mgonjwa akibebwa ktk machela na kupelekwa hospitali na inaelezwa kuwa huo ndio utaratibu wa wilaya ya Kilolo, yani kwamba ktk eneo lile wagonjwa siku zote hubebwa ktk machela kupelekwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kijiji cha Andikoni (Pemba) wabeba Wagonjwa begani kutokana na ubovu wa Barabara

    Wananchi wa Kijiji cha Andikoni, Shehia Chumbageni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba walazimika kuwabeba wagonjwa wakiwa kwenye vitanda katika mabega kutokana ubovu wa barabara ili kupata Huduma za Afya. Wakizungumza na HalisiMediaOnline, baadhi ya Wananchi wamesema wanapitia wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu! Gari ya Polisi yanasa kwenye tope msafara wa Waziri wakwama

    Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
  15. JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

    Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Wananchi wa Buchosa msimhukumu mbunge wenu kisa ubovu wa barabara

    Wakuu, Kwakweli hatutakiwi kuwachekea na kuwaonea huruma hawa wabunge, wasiotimiza tunachohitaji wananchi, wanataka tusiwahukumu, ili tuendelee kuteseka huku wao wanateleza na matumbo yao. ==== Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, amewataka wananchi wa Buchosa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barabara ya Mbezi Makabe kwa Pesapesa kuwa mbovu kiasi hiki Mbunge, Diwani, Mkuu wa Mkoa na Wilaya wapo kweli?

    Barabara ya Mbezi Makabe ( Kwa Pesapesa) Jijini Dar es Salaam ina ubovu wa kiwancho cha juu sana Jiulize watoto wanaendaje shuleni, wafanyakazi wanaendaje kazini?. Mbunge wake akiwa bungeni utamsikia akisema anataka picha ya Rais Samia kwenye noti. BLADFAKENI kabisa! Fikiria Mkoa huu Una mkuu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Barabara ya Mwandege-Mkuranga!

    Habari wanajukwaa. Leo nimekuja mbele yenu kuleta mada ihusiyo ubovu wa Barabara ya mwandege-mkuranga. Barabara hii ni muhimu kwa mikoa ya kusini kutoka Dar. Kwa kweli barabara hii imejaaa makorongo na mabonde( tunaweza hata kufugia samaki). Kadhia tunayopata wasafiri wa njia hiyo ni kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Mabasi ya Forest Mlowo (Songwe) ina miundombinu mibovu, kwanini inatumika kabla ya ujenzi kukamilika?

    Daaah! Hii nchi bhana, katika pitapita zangu nimeibukia maeneo ya Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe. Halmashauri ya Wilaya hiyo imefanikiwa kujenga Stendi mpya ya mabasi eneo la Forest lakini kinachoendelea hapo hakina afya sana kwa watumiaji, kwani miundombinu mingi ni mibovu. Kulikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…