uber

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Uber haziruhusiwi kuchukua abiria Mwalimu Julius Nyerere International Airport?

    Ni dhahiri kwa tuliowahi kutoka safari mbalimbali kupitia uwanja wa ndege wa JNIA bila watu wa kutulaki na kutaka kutumia Uber tutakuwa tumepata adha ya kulazimika kutembea hadi nje ya uwanja huo ili kupata usafiri huo. Najua mtasema "kwanini usipande taxi za ndani ya uwanja?" lakini jibu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…