uangalizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ijaribu sera ya madaraka mikoani, yaweza kabisa kuibadili nchi yetu ndani ya kipindi kifupi

    Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita. Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno ambayo yamekosa mwongozo wa kitaaluma kwa kujaribu kulinganisha uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza...
  2. Rais Mstaafu Kikwete, akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya akutana na Wageni mbalimbali

    Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022...
  3. J

    Rais Samia: Wakurugenzi (DEDs) muda wenu wa uangalizi (probation) unaisha 18/02/2022 baada ya hapo tutaamua nani abaki nani aondoke

    Rais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio (probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022. Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo Waziri ataandaa performance report ya wakurugenzi wote ili ijulikane wanaobaki na wale...
  4. Wasafi yalambwa rungu jingine, Zuchu asababisha kupewa onyo kali na kutakiwa kuomba radhi pia kipindi chawekwa chini ya uangalizi

    Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya...
  5. Ni biashara gani unaweza kufanya isiyohitaji uangalizi wa mara kwa mara?

    Salaam kwenu wote Kama kichwa kinavojieleza, ni biashara gani mtu alie buzy anaweza fanya? Karibuni kwa mawazo tushee experience zinaweza saidia na wengine pia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…