"Hebu tafakari:
Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko anakotoka ameshindwa hata kuwahamasisha na kuwawezesha vijana wa chama chake walau kujiajiri. Katika...
UTANGULIZI.
Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila mtu katika jamii, suala hili la malezi ya watoto bado limekuwa na changamoto kubwa sana kutokana na...