tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

    Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Wasira ana miaka zaidi ya 50 akiwa kiongozi, ana kipi kipya cha kufanya naye mdahalo?

    Tundu Lissu akijibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa Habari aitwaye Elizabeti amesema kuwa yeye hana hadhi ya kuzungumza na Makamu Mwenyekitinwa CCM Mh. Steven Wasira. Amedai kwamba Mh. Steven Wasira amekuwa kwenye uongozi kwa miaka mingi kwa hiyo hana jipya la kufanyia Mdahalo. Kupata...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu afafanua No Reform No Election, hatuzungumzii kususia uchaguzi na hatutasusia bali Uchaguzi hautofanyika!

    Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi CHAMA hicho HAKITAKUBALI Uchaguzi feki ufanyike nchini mwezi october 2025. Akiongea kwa nukta...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tunawakaribisha Watanzania wote wajiunge na CHADEMA, Jambo la wengi ni Jambo la Mungu

    Hotuba ya kuchoma kumoyo kutoka kwa Tundu Lissu. Mh Mwenyekiti wa Chadema amewaomba kwa unyenyekevu watanzania wote wajiunge na Chama hiki kinachotetea Haki za Taifa. Amemaliza kwa kusema Jambo la Mungu ni jambo la wengi na penye haki Taifa linainuliwa. Hata hivyo amewaomba vyama vyote vya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Tupo tayari kufa kulinda msimamo wa CHADEMA na maslahi ya Wananchi, Rais wa Tanzania amegeuka kuwa Mungu

    John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya Wananchi wa hali ya chini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ndiye kiongozi mwenye mvuto zaidi Tanzania, Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa

    Wakuu Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa. Kiongozi huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amejenga sifa ya kuwa kiongozi...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Mkutano wa Tundu Lissu na waandishi wa habari februari 12, 2025 umehairishwa

  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

    Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo. Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti. Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awasili Manyara kushiriki Msiba wa Derrick Magoma

    Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ni miongoni mwa waombolezaji walioingia Mkoani Manyara kuomboleza Msiba wa Mwenyekiti wa zamani wa Mkoa huo, Derrick Magoma. Taarifa iliyosambazwa na chama chake Duniani kote hii hapa. Mungu Ibariki Chadema
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa anapanga kwenda kumtembelea mwenyekiti wa zamani

    Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi. Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Kwenye ukurasa wa Lema wa X (Twitter) ameandika Mbowe na mwanae wasusa CHADEMA, wagoma kumpa vifaa Lissu kwaajili ya mapokezi ya singida Februari 15

    MBOWE NA MWANAE WASUSA CHADEMA WAGOMA KUMPA VIFAA VYA MKUTANO LISSU. Mtoto wa Mbowe (James Mbowe) ambaye ana kesi ya Madai Mahakamani kwa kosa la kutowalipa Mishahara wafanyakazi wake zaidi ya miaka 3 leo ana muhujumu Lissu kwa kumnyima vifaaa vya Mziki na Jukwaa kwa ajili ya Mkutano wake wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Tundu Lissu atafikisha Ruzuku majimboni kama alivyoahidi kwenye kampeni basi CCM iuzingatie Ushauri wa Kikwete kuwa " Hakunaga Adui Mdogo"

    Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku...
  15. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushindi wa Lissu na Uchumi wa Tanzania

    Natanguliza pongezi za dhati kwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Tundu Lissu kwa kuaminiwa na kukabidhiwa Kijiti kuongoza chama kutoka kwa Freeman Mbowe. Lissu anafahamika kwa harakati zake za kitambo katika kupigania lile analoliamini na kulisimamia. Katika kampeni zake za kugombea uenyekiti wa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Mbowe hataki kusumbuliwa kuhusu suala la Slaa na fedha za shughuli ndani ya chama. Hii ni changamoto kubwa CHADEMA

    Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa. Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwambieni tundu lissu siasa ni kumfarakanisha adui ili umnase kwenye mtego wako ,ccm ya sasa imeungana sana inahitajika mkakati wa kuwafarakanisha.

    Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma 2025 limetenga milioni 300 kuweka kamera za ulinzi barabarani (CCTV ) yakitokea matukio kama la Tundu Lissu 2017 zinachakachuliwa

    Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo ukitokea uhalifu hazitoi msaada wowote na kukaa kama mapambo tu... mfano tukio la Lissu 2017...
  19. JamiiForums Tanzania Prophet Denis: Tundu Lissu ni chaguo la Mungu, akiwa Rais atalifanyia makubwa Taifa la Tanzania

    Msikilize mwenyewe hapa chini.... https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=yDdIPiWbPnwjTXpg
  20. JamiiForums Tanzania Prophet Denis Tanzania: Tundu Lissu amebeba ajenda ya Mungu ndani yake. Asipopewa nafasi, hasara sio yake bali ni ya taifa na nchi...!!

    https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb ➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...." ➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa.. ➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…