Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni...
SAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA
Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani ya wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora akiwa katika safari ya kutafuta wadhamini wa ugombea wake wa...
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.
Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa
Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda...
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.
Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti.
Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini...
Inawezekana nawe umegundua trend hii. Kila JPM akiongea kuelezea yaliyofanyika anaelezea kana kwamba yamefanyika kwake. Amekuwa hata akidiriki kutumia maneno mabaya kwa waliomtangulia mfano "uchumi ulikuwa mikononi wa majizi", "Waliishi kama malaika sasa wataishi kama mashetani", "mimi huwa...
Video clip hii inawakilisha silent sympathisers wa Tundu Lissu tuliomo ndani ya CCM. Tupo wengi tu.
Kwenye clip hii Nape Nnauye anaonyesha kuguswa, kusikitishwa na kuwa na hofu kubwa sana baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi kadhaa. Ni wana CCM wengi tuliguswa na tukio lile ambalo lilituachia...
Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni.
Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo...
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro amesema wapelelezi wanamfatilia Tundu Lissu ili waweze kumuhoji kuhusiana na tukio la kushambuliwa kwake na bado hawajampata lakini kwa sababu amerudi nchini sasa tutampata.
Sirro ameongea hayo na mtangazaji wa ITV Fahma Middie katika kipindi cha Dakika...
Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana
Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.
Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), Tundu Antiphas Lissu, leo Jumatatu, Agosti 10, 2020 amefanya Misa ya Shukrani kwenye kanisa la Mtakatifu Rita wa Kashia lililopo Ikungi, jimboni kwake Singida Mashariki.
Kwenye Misa hiyo iliyoongozwa na Paroko Laurent Bahale...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa...
Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa...
Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa.
wote mnakaribishwa
===
Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania...
This is very interesting, kwa kweli...
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020....
Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo.
Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo...
Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake.
Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano.
Hongera sana.
Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe...
Dodoma, Tanzania
MHE. TUNDU LISSU AKITOA SALAMU KWA WAKULIMA IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE
Leo ni NaneNane sikukuu ya wakulima, tufikirie hali ya mkulima popote katika nchi hii, tufikirie hali ya mfugaji na mvuvi katika nchi hii.
Wakulima hawa wana umasikini mkubwa wakati...
Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia
kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...