tunaonewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    Taxi mtandaoni tunaonewa

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayolalamikiwa sana na madereva wa usafiri wa mtandao (Bolt, Farasi, Paisha n.k.) katika eneo la Kivukoni Ferry, Dar es Salaam. Baadhi ya madereva wa bodaboda wanaopaki karibu na Pantoni wamekuwa wakifanya kitendo cha kuchomoa funguo za bodaboda...
  2. A

    KERO Wahandisi wa Halmashauri tunaonewa

    Wahandisi Ujenzi (Civil Engineers) waliopo Halmashauri zetu wanapitia wakati Mgumu sana. Unakuta anasimamia miradi maelekezo anayopokea kutoka kwa Mkurugenzi (DED) na Mkuu wa Wilaya yanakuwa kinyume na utaalamu, unaweza ukaambiwa upige plaster leo na upake rangi leoleo, ukishindwa kufanya hivyo...
Back
Top Bottom