UN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society.
EU: Any inquiry must be independent, transparent, and inclusive—involving civil society, faith-based groups, and all...
Badala ya Tume kujenga ukaribu na wananchi ili wapate wanachokitaka wamejipa mamlaka ya upolisi na kuanza kuwafokea.
Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora amalizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa...
"Katika kuonesha hilo mnaloliita maridhiano, lazima kwanza kutikiri watu waliuawa na risasi za moto na nani? Swali hilo likijibiwa ndiyo hapo tutahitaji tume huru ya uchunguzi ambayo haihusiki na anayeshukiwa kwamba alihusika kuua" - Padre Charles Kitima
Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya...
Tume Tume Uhuru ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imepewa miezi mitatu kutekeleza majukumu yake.
Tume hiyo inayoongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Mohamed Chande Othman ina wajumbe wengine ambao ni...
MOSI,Mahakama ya kimataifa ya uhalifu, almaarufu kama The International Criminal Court (ICC) imeanzishwa na MKATABA WA ROMA (THE ROME STATUTE), na huwa inafanya kazi chini ya kanuni iitwayo The Complementarity Principle.
Kanuni hii (The Complentarity Principle) imetajwa kwenye aya ya kumi ya...
Utabiri wangu ni huu;
1) Hakukuwa na Maandamano bali matendo ya uvunjifu wa amani
2) Jeshi la polisi katika kujihami lilitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya waandamanaji
3) Jeshi la polisi halikuhusika kabisa katika mauaji ya watanzania ila video zinazosambaa mtandaoni ni za Al na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.