Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Sugu ametoa Ushauri kwa Tume ya Uchaguzi kwamba isitishe mchakato wa Uchaguzi ambao unaendelea mpaka reforms zitakapopatikana
Sugu anasema kwamba Samia pia asiingize nchi kwenye Uchaguzi na kupoteza mabilioni ya fedha kwenyejambo ambalo haliungwi mkono na...
Mgombea urais kupitia chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Alma alivyokabidhiwa fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Dodoma
Nimesikia tume huru kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la kifungo gerezani lakini suala la kuiba kura hatulioni kwamba ni halali nimeshangaa sana.
Kama mmedhamilia uchaguzi huru na wa haki msilazimishe ufanyike jinsi mnavyotaka nyinyi, bali kuwe na makubaliono ya pande zote nchini, bila...
Aman kwenu watumishi wa MUNGU
Leo nimesikia kuwa mama hadaiwi kama wasemavyo machawa
Bas tunaomba reform ili uchaguz uwe huru na khaki
Kisha mama njoo ulingon bila kairima
Uvurugane na LISSU
Umshinde kwa kishindo 90%kwa 10%
Ete mama
LONDON BOY
Wananchi wa Kata ya Kihesa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mkoani Iringa wakikagua majina yao katika daftari la awali la wapiga Kura lililobandikwa katika kiuo cha kujiandikishia wapiga Kura kilichopo ofisi ya Mtendaji Kihesa. Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi imeanza awamu ya pili ya...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata mabadiliko wanayoyataka na kuyahimiza ya kisheria na kimfumo yatapatikana ndani ya bunge hilo na siyo...
Dkt slaa amesisitiza maadili sio maneno wala maandishi,Maadili ni matendo
Aidha Dkt Slaa amesisitiza misimamo ya wananchi juu ya mabadiliko ipo mioyoni mwao huwezi kuiondoa maono ya mioyo ya watu kwa vitisho
Kwa matendo ya hovyo ya Tume ya uchaguzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka...
Tume hii ya Uchaguzi chini ya Jaji Mwambegele na Katibu wake Kailima.
Imejithibitisha bila kuacha shaka kwamba haiwezi kuendesha na kusimamia uchaguzi wa haki kwa vyama vyote...
Siku moja watoto wetu watatuuliza: Tulifanya nini wakati taifa letu lilikuwa linahitaji mabadiliko? Natamani kusema nilisimama kwa ajili ya haki, nilipigania Tanzania yenye matumaini, haki, na uwazi. Sisi vijana tuna nguvu ya kuleta mabadiliko.
Hatuhitaji tu kubadili jina, tunahitaji kubadili...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amefafania madai ya uwepo wa wawtu mkoani Dar es Salaam wanaojiandikisha zaidi ya mara moja.
Ndg. Ramadhani Kailima amebainisha nini Tume hufanya baada ya Uboreshaji kukamilika na mwisho wa siku Daftari liliso na watu waliojirudia kutoka...
Wakuu,
Rais Samia amewahasa wananchi wa Korogwe na Tanga kwa ujumla kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, mchakato ambao unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ukiwa unaendelea kwa sasa huko mkoani Tanga.
Rais Samia alisema:
"Niwakumbushe kile kijambo chetu cha mwezi wa...
Wakuu,
Huko mkoani Morogoro, wafanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi wameanza kuingia mtaani na kuandaa events ndogo ndogo kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na kuhamasisha wananchi wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
Haya ndio mambo tunayotaka kuona.
Sasa hapa tume...
Wakuu,
Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:
“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja, uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura 29,754,699 waliopo kwenye daftari baada ya uboreshaji uliofanyika mwaka 2019 mpaka 2020.
Mkurugenzi wa...
Wakuu,
Mkoa wa Lindi unatarajia wapiga kura wapya 121,187 kwa ajili ya uchaguzi ujao, huku vituo vya kujiandikisha vikiwa 1,308, ongezeko la vituo 70 ikilinganishwa na uchaguzi uliopita.
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mbarouk Salum Mbarouk, amewataka wadau wa...
Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Tume ya sasa ya Uchaguzi (NEC) inapaswa kujiuzulu ili kuruhusu kupatikana kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mujibuwa sheria.
Zitto ametuma akaunti yake ya X kuzungumzia suala hilo. Ni saa chache kupita tangu Msemaji Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.