tulinde amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Siasa ni maendeleo si uhasama: Tulinde amani na mshikamano wa taifa kwa maendeleo endelevu

    Katika kipindi hiki tumeshuhudia mijadala ya kisiasa ikizidi kuwa mikali na yenye hisia kali. Hali hii inatukumbusha umuhimu wa kurejea kwenye misingi imara ya taifa letu: amani, umoja na mshikamano. Kwa maslahi ya Taifa, ni vyema wanasiasa, wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wote wa...
  2. Idugunde

    Tulinde amani na kuacha mafisadi wa CCM wakiiba rasilimali zetu za umma?

    Hiyo ndio maana inayotamkwa hadharani kuwa tukae kimya kama mapimbi huku familia za mafisadi wachache wa CCM wakifaidi mali za umma kihuni. Hapo kunakuwa na umuhimu wa amani?
  3. W

    PreGE2025 Eveline Munisi: Viongozi wa vyama vya siasa tulinde amani

    Nianze kwa kupongeza TLS kwa kutuandalia hili kongamano ambalo binafsi limenifungua mambo mengi kuhusiana na sheria ya uchaguzi, na yaliyopo ndani ya Katiba kwa ujumla. Suala wa wasimamizi lilikuwa shida sana pale awali kwa sababu kila kitu kwenye uchaguzi ni serikali inasimama. Lakini kwenye...
Back
Top Bottom