Hii ndio miaka millenials wapo primary and secondary huku bado wadogo zao gen z wapo kwenye mifuko na mayai🤣
Miaka hio tunaulizana mbna isidingo Haiishi maana tangu late 90s watu wanaangalia😬
Miaka 2000 ndio ilikuwa golden age ya burudani na media katika nchi hii
Between 2000 hadi 2009 taifa...
Magufuli alisema Watanzania wanajua kuchambua mambo na lilipotokea tukio la kutekwa kwa Mo zilikuja habari nyingi kwamba waliohusika na utekaji ni Wazungu wa aina fulani lakini suala hilo lilipomalizika liliacha maswali mengi zaidi.
Aliongeza kuwa walijaribu kulichoma moto gari lakini baadaye...
Habari WanaJf,
Nimekumbuka Wakati huo shuleni mwalimu anakuchapa viboko, we ukilia anakwambia aaah unanizomea sindio😂😂
Na wengine ukishika tu nafuta naanza mwazo, iyo sihesabu.. Daah maticha bhn sometimes wanaona Raha wanavyopiga fimbo raia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.