tuhuma za ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni wazi tuhuma za ufisadi ndani ya CHADEMA zimesababisha nyufa na migawanyiko ndani ya chama hicho

    Je, Baraza kuu la chadema taifa linaweza kuziziba nyufa hizo na kuwaleta pamoja wanachadema ambao wamegawanyika na kila upande una mawazo, maoni na mtazamo mseto dhidi ya tuhuma za ufisadi miongoni mwa viongozi wake wa kitaifa? Je, baraza kuu litawaengua watuhumiwa ili kuanza upya kukiunganisha...
  2. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi zimepunguza kasi ya uropokaji wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

    Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Huenda BAWACHA wakatoa neno kuhusu tuhuma za ufisadi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa wakati wowote kuanzia sasa

    Baada ya kujizolea umaarufu mkubwa zaidi hasa baada ya tukio la kuchoma vitenge mwaka 2024, hatimae Baraza la Wanawake Chadema taifa BAWACHA wanajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote kuanzia sasa, dhidi ya tuhuma mbalimbali za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama zinazo...
  4. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za ufisadi na rushwa zinazomkabili John Heche, ni wazi amekosa credibility ya kukosoa wengine kwenye masuala ya uadilifu.

    Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
  6. JamiiForums Tanzania CCM hamuwezi kuiangusha CHADEMA kwa propaganda za kishamba kama hizi. Ninyi ni wachafu maana mna tuhuma za ufisadi na mauji ya raia

    Mnatuhumiwa kwa tuhuma nzito sana za mauaji ya kimbari yaliyofanyika Oktoba 29 na mkakaa madarakani bila ridhaa ya wananchi. Mnatuhumiwa kuteka na kuua raia wema akiwemo Humphrey Polepole na wengine wengi. Kuleta hoja kuwa Heche amekula michango ya Chadema ni ushamba na upuuzi wa kisiasa.
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Paul Makonda kujibu tuhuma za ufisadi wa kielimu wa kutumia vyeti vya mtu mwingine kama alivyofanya mwenzake Mwigulu?

    Hizi tuhuma zilivuma na kuwachafua sana hawa jamaa wawili wakati wa u-Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2015). Cha ajabu ni kuwa, huwa wamo tu serikalini. Ama kweli wachawi na waganga wao wana nguvu sana basi...! 1. Paul Christian Makonda (jina halisi la kuzaliwa la asili ya ukoo wake ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ufisadi wa kutisha nchini zinazoibuliwa na Mange Kimambi katika vyombo vyetu vya Usalama zinahitaji ufafanuzi

    Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Mange amezungumzia tuhuma...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

    Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo. Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani Korea Kusini anakabiliwa na kesi ya tuhuma za Ufisadi

    Mke wa aliyekua Rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, alifika mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili kilichodumu saa tano, lakini hakimu hajatoa uamuzi kuhusu ombi la waendesha mashtaka la kutaka kibali cha kumkamata kwa tuhuma za ufisadi Anakabiliwa na mashtaka yanayoweza kumfunga miaka kadhaa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa Tuhuma za ufisadi wa Mbowe na CHADEMA tumeshakuelewa, Sasa tuambie na wewe ulitumiaje Ruzuku ya Jimbo kwa miaka 10!

    Kama utatueleza ulitumiaje Fedha za Mfuko wa Jimbo la Iringa Mjini kwa miaka 10 mfululizo uliyokaa bungeni tutakuelewa sana Ritha Kabati Semwamoto ni Mbunge wa Viti Maalum ulikuwa naye Bungeni hana Fedha za Jimbo lakini kazi alizofanya kama mbunge wa Viti Maalum Iringa zinaonekana Wewe je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…