Anaandika Liberatus Mwang'ombe
Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote
UPDATE
Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
Kutoka kwenye ukurasa wa X wa Twaha Mwaipaya ametoa taarifa inayomuhusu Muhadhiri wa SUA kukamatwa na polisi
Leo jumanne tarehe 2/12/2025 Police Mkoa wa Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel Madaha kwa tuhuma za Uchochezi kwenye Jukwaa la Whatsapp ambalo yeye ni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi, akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe mkazi wa Lubele na wengine watatu ambao ni Bryson Kamembe, Asajile Mwasalemba na Elia Mwalumbu wakazi wa Wilaya ya Kyela.
Kamanda wa Polisi Mkoa huo...
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.
Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
---
Jeshi la Polisi mkoani Singida usiku huu limemuita kwa mahojiani Askofu Maxmillian Machumu (Mwanamapinduzi) kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.