Naomba ishauri kama inawezekana ,najua humu wapo wazoefu na mafundi wenyewe.
Nimejenga kajumba kakuishi sasa nimeweka bajeti ya umeme sasa nilisikia kuna kununua nguzo hilo mimi sikujali maana hapa jirani yangu ng'ambo ya barabara kama mita 20 pana transfoma hii ndio inasambaza umeme mtaa huu...