toyota

  1. JamiiForums Tanzania Toyota Noah/Hiace inahitajika. TZS 600,000/Mwezi

    Gari aina ya Toyota Noah au Hiace inahitajika kwa ajili ya kusambaza vinywaji vikali Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara kwa mwezi mmoja. Dereva ni wangu, mafuta na matengenezo ya kawaida pia ni juu yangu. Budget yangu ya kumlipa mwenye gari (mmiliki/mkodishaji) ni laki sita (TZS...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uzuri na ubaya wa Toyota Ipsum

    Hili gari kwa familia kubwa nalipenda. Naomba kujua madhaifu yake katika: - Safari ndefu Dar to Mwanza - Ulaji mafuta - Kwenye barabara ya vumbi - Bei yake yard Naombeni msaada.
  3. JamiiForums Tanzania Nauza Toyota Mark X 2006

    Make: Toyota Mark X 2006 Cc: 2490 Mileage:130,000 Seat: Leather seat 5, both front electronic Airbag; 9 Sound and Radio: touch screen and subwoofer Mirror: side mirror indicator Key: push start Price: 8,200,000 Location: Mbezi Beach Tanki Bovu Tel: 0653 029400
  4. JamiiForums Tanzania TRD Stickers kwenye Toyota

    Hivi hizi sticker huwa zinasaidia nini hasa. Na leo nimekutana na IST ina sticker kibao mojawapo imeandikwa OFF ROAD. Nikabaki kucheka. Hivi hizi sticker huwa zinawasaidia nini hasa jamani.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye Suzuki Carry Family nabadilisha na Toyota Vitz 0767333440

    Nabadilisha Toyota Vitz kwa Suzuki Carry Family. Vitz ni kali sana piga 0767 333 440.
  6. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota raum

    Toyota raum inauzwa million tisa iko katika hali nzuri ikiwa na vibali vyote haijawahi kugongwa na ni namba D
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    Price: TZS 14,000,000 Toyota VOLTZ impoorted and used for only 13 Months in Tanzania for sale by the owner Facilities and specifications - Km 117,000-Imported with 110,000 KMs (Rarely driven in Tanzania) -New tyres installed Nov 2018 -Elegant music system -Smart radio that support video -Back...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…